عربي - Deutsch - English - Español - فارسی - Français - Português - Pусский - Kiswahili - Türkçe - українська мова
Sherehe ya michezo kwa kila mtu - pamoja dhidi ya ubaguzi wa rangi
tarehe 16 mwezi wa saba 2022, saa nne asubihi mpaka saa kumi na moja jioni
Anwani: Universitätssportplatz Ziegelwiese, An der Schleuse 11, 06108 Halle
Amnesty International Halle na klabu ya spoti Roter Stern Halle wanawaalikia kwa mara ya saba ya "sherehe ya michezo kwa kila mtu - pamoja dhidi ya ubaguzi wa rangi". Mtafurahi juma ya michezo, mashindano na mafunzi mengi. Mtaweza kujaribu spoti nyingine - kwa mfano tenisi ya mpira, Volleyball, Dart na Spikeball - kuna mafunzo na mashindano madogo. Pia kuna soko ndogo na kubadilishiana nguo kwa kila mtu. Wadogo wanaalikiwa kujiunga kwenye activities hasa kwa watoto, kwa mfano nyumba ya kujaza upepo ya kuruka na rangi ya uso.
Jumamosi saa saba mchana kuna kitendo na picha ya kila mtu kitachotangazwa
Uwanjani panafikana bila shida kwa kila mtu. Vyoo vya wasiojiweza vipo.
Mtu kwa ajili ya kuwasiliana na kujibu maswali:
Peer Belz
Simu: 0163 162 62 75
anwani ya E-Mail: sportfest.jedermensch@ai-campus.de